By Imcha admin on Tuesday, 02 July 2019
Category: News

Women in Iringa teach about reproductive health (Wanawake Iringa watoa elimu kuhusu afya ya uzazi)

Makala ya Wanawake na Maendeleo, safari hii inaangazia kikundi cha wanawake kiitwacho IMCHA mkoani Iringa. Je juhudi zao katika kuboresha maisha ya wanawake ni zipi? Na zimepiga hatua kwa kiwango gani? Kwa mengi zaidi, ungana na Anuary Mkama.

Wanawake Iringa watoa elimu kuhusu afya ya uzazi | Media Center | DW | 19.06.2019